Pages

Sunday, 5 April 2015

RONALDO DE LIMA: "NITATOA PESA YANGU MFUKONI KUMNUNUA MESSI NA RONALDO"



Lejendari wa Brazil Ronaldo amesema yupo tayari kutumia fedha kutoka mfukoni mwake mwenyewe ili kumnunua Lionel Messi kuichezea Klabu ya Fort Lauderdale Strikers ya huko Marekani.
Messi amekuwa aking'ara na Barcelona kwa Muongo mmoja sasa na kuwa Mchezaji Bora Duniani mara 4 mfululizo kabla hajaondolewa na Cristiano Ronaldo ambae sasa ametwaa Taji hilo kwa Miaka Miwili mfululizo.
Hivi sasa Gwiji wa Brazil, Ronaldo, ambae aliwahi kuzichezea Barcelona na Real Madrid, amekuwa mmoja wa Wamiliki wa Fort Lauderdale Strikers inayocheza Daraja la Pili huko Marekani.
Akiongea kabla uzinduzi wa Msimu mpya, Ronaldo alisema: "Naweza kulipa kutoka mfukoni mwangu kumnunua Messi. Hii Klabu itakuwa kubwa! Kwani Messi asije? Kwanini Ronaldo asije? Katika Miaka michache ijayo hilo linawezekana!"
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates