Magoli 3 ya Emmanuel Okwi yameiwezesha SIMBA SC kupata pointi 3 muhimu katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, walipoichapa Stand united magoli 4 kwa 0
Goli la kwanza la simba lilifungwa dakika ya 9 na Emanuel Okwi na baadae dk 15 Ramadhani Mesii Singano akapiga goli la pili na dk nya 40 Okwi akafunga tena
Hadi timu zinaenda mapumziko Simba 3-O
Katika kipindi cha pili Simba walipata goli la nne dk ya 54 kupitia Okwi na kukamilisha karamu ya magoli 4-0
Kwa matokeo hayo Simba wanasalia nafasi ya 3 wakiwa na pointi 38

0 comments:
Post a Comment