Pages

Friday, 24 April 2015

YANGA UBINGWA WAKE HAINA UBISHI AMTANDIKA RUVU 5-0


 Vinara wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, wameonyesha dhamira thabiti ya Ubingwa kwa kuitandika Ruvu Shooting Bao 5-0 na kupaa kileleni mwa Ligi wakiwa Pointi 10 mbele ya Timu ya Pili Azam FC.Ikiwa Azama FC leo watafungwa na Stand United basi moja kwa moja Ubingwa unaenda Jangwani na hata wakishinda ikiwa Jumatatu Yanga wataichapa Polisi Moro Uwanja wa Taifa Dar es Salaam basi Ubingwa upo Jangwani.
Kwenye Mechi ya hiyo, Yanga walikuwa mbele 3-0 hadi Haftaimu kwa Bao za Simon Msuva, Bao 2, na Kpar Sherman.
Kipindi cha Pili Amisi Tambwe aliipa Yanga Bao la 4 na Kpar Sherman kupiga Bao la 5.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates