Kama alivyofanya Novemba 9 baada ya kuifungia Swansea City Bao la ushindi, Straika kutoka France Bafetimbi Gomis ameiua tena Arsenal kwa kufunga Bao moja na pekee Uwanjani Emirates katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Novemba 9, Bafetimbi Gomis alifunga Bao la ushindi Dakika ya 78 kwenye Mechi ya Ligi ambayo Arsenal walilala 2-1 na safari hii Straika huyo kutoka Benchi Dakika ya 74 kumbadili Ki Sung-yueng na kuipa ushindi Swansea City kwa Bao la Dakika ya 85 ambalo Refa Kevin Friend aliamua ni Bao kwa msaada mkubwa wa Teknolojia ya Mpira Kuvuka Mstari wa Goli baada Kipa Ospina kuufuta Mpira uliokuwa ukielekea kugusa nyavu.
Matokeo haya yamewaacha Arsenal Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Man City na Pointi 2 nyuma ya Man United walio Nafasi ya 4.
Mechi inayofuata kwa Arsenal ni Ugenini huko Old Trafford dhidi ya Man United hapo Jumapili Mei 17.

0 comments:
Post a Comment