Pages

Tuesday, 12 May 2015

AZAM YAMRUDISHA KOCHA MUINGEREZA STEWART HALL

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu ya Azam fc zinaeleza kuwa kocha wa zamani wa klabu hiyo, Muingereza Stewart John Hall anarejea tena kuwa kocha mkuu.
Hall aliyeiacha Azam fc baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu msimu wa 2013/2014 anarejea kuchukua mikoba ya aliyekuwa kocha mkuu, Joseph Marius Omog.
Omog alifukuzwa kazi mwezi februari mwaka huu baada ya Azam kutolewa ligi ya mabingwa Afrika na El Merreick kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-2 na nafasi yake ikachukuliwa kwa muda na aliyekuwa kocha msaidizi, George ‘Best’ Nsimbe.
Kwasasa Nsimbe ndiye kocha mkuu wa muda na msaidizi wake ni Dennis Kitambi, hivyo kurejea kwa Hall kuna maanisha kocha mmoja anaweza kuwa msaidizi wake.
Nsimbe ameshindwa kutetea ubingwa aliochukua Omog msimu uliopita.


Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates