Wakati watu duniani kote wakisubiri kwa hamu mpambano kati ya Floyd mayweather na Man pacquiao
Mwalimu wa bondia Manny Pacquiao, Freddie Roach amesema anawasiwasi huenda Floyd Mayweather hatotokea kwenye pambano linalosubiriwa kwa hamu duniani litakalofanyika huko Las Vegas Marekani.
Roach alisema “nashangaa kama atajitokeza katika usiku huo wa pambano”
Aliongeza kwakusema
‘sidhani kama kuna mpiganaji anaeogopa kupigana ila sidhani kama alilitaka hili pambano, alilazimishwa kupigana kwenye pambano asilolihitaji
Roach aliongeza kwakusema anashangazwa na ukimya wa Mayweather kuelekea kwenye pambano hilo lakini pia hata akiongea anaonekana kuwa mwenye huzuni
0 comments:
Post a Comment