Pages

Friday, 1 May 2015

MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA UBELGIJI AFARIKI DUNIA

Mchezaji wa kimataifa wa Ubeligiji, Gregory Mertens afariki dunia baada ya kuanguka uwanjani.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alianguka uwanjani baada ya kupatwa na shambulio la moyo siku ya jumatatu ambapo alikimbizwa hospitali haraka hata hivyo hali yake haikuwa nzuri kupelekea hatua ya kufungiwa mashine maalumu ya kumsaidia kupumua.
Akiongea na kituo cha Cnn msemaji wa hospitali aliyokuwa amelazwa mchezaji huyo wa klabu ya Lokeren amesema Mertens amefariki dunia siku ya alhamisi.

Kwenye tovuti ya klabu Lokeren pia wameelezea jinsi walivyoipokea taarifa hiyo ya huzuni kwao na kumzungumzia marehemu kwa kirefu lakini pia wadau mbalimbali wa soka wametoa salamu za rambirambi kwa klabu pamoja na familia ya mchezaji huyo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates