Juventus wametwaa Ubingwa wa Serie A kwa mara ya 4 mfululizo baada ya kushinda Ugenini Bao 1-0 walipocheza na Sampdoria.
Bao la ushindi la Juve lilifungwa na Arturo Vidal katika Dakika ya 32.
Juve, wakibakiwa na Mechi 4, wamefikisha Pointi 79 wakifuatiwa na Lazio wenye Pointi 62 kwa Mechi 33.
0 comments:
Post a Comment