Klabu ya Barcelona imepata ushindi mnono wa jumla ya mabao 8-0 dhidi ya Cordoba katika mchezo wa La Liga huku mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez akiongoza safu ya wafungaji wa Barca kwa kutupia Hat-trick katika mchezo huo.
Mbali na Suarez wachezaji wengine ambao wameffunga katika mchezo huo ni pamoja na Nyota wa Argentina Lionel Messi, Taa ya Brazil kwa sasa Neymar, Ivan Rakitic pamoja na Gerard Pique.
Matokeo hayo yanaifanya Barcelona izidi kujikita kileleni mwa ligi hiyo huku wakizidi kumkimbia mpinzani wao Real Madrid ambao pia leo wameshinda 3-2 dhidi ya Sevilla.

0 comments:
Post a Comment