Pages

Saturday, 2 May 2015

RONALDO AMJIBU SUAREZ ATUPIA 3 PEKE YAKE REAL MADRID IKISHINDA 3-2 DHIDI YA SEVILLA

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo usiku huu ameisaidia klabu yake ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Sevilla huku yeye mwenyewe akifumania nyavu mara tatu (Hat-trick).

Madrid ndio walianza kupata bao katika dakika ya 36 ya mchezo huo wa La Liga kupitia kwa Ronaldo ambapo haikuchukua muda mrefu nguli huyo akapachika bao la pili katika dakika ya 37.

Katika dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza Sevilla walipata penati ambayo ilipigwa na Carlos Bacca na kufanya timu hizo kuelekea mapumziko Madrid wakiongioza kwa bao 2-1.

Kipindi cha pili kilianza na dakika ya 68 Mreno huyo (Ronaldo) akafunga kitabu cha mabao kwa siku kwa kuandika goli la tatu na la mwisho kwa Real Madrid kabla ya Vicente Iborra kuifungia Sevilla bao la pili katika dakika ya 79 na kufanya matokeo kusomeka Real Madrid 3 na Sevilla 2
.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates