Floyd Mayweather amemaliza ubishi kwa kumtwanga Manny Pacquiao katika pambano lao lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa.
Katika pambano ambalo Pacquiao alikuwa akishangiliwa sana, ngumi zake nyingi zilionekana kuwavutia mashabiki, lakini si zilizompa pointi kujenga ushindi.
Mayweather alikuwa makini zaidi na kuweza kupiga ngumi nyingi zenye pointi.
Majaji wote watatu walimpa Mayweather ushindi wa
118-110, 116-112, 116-112.

0 comments:
Post a Comment