CHELSEA WANAONGEA NA ATLETICO KUHUSU KOKE KWA DILI LA £30M
Gazeti la the Express wameripoti kwamba Chelsea wanaongea na Atletico kuhusu kufanya uhamisho wa midfielder Koke. Mkataba wa Koke una release clause ya £44m ndani ya miaka 5. So kwenye mazungumzo hayo Chelsea wanataka kutoka £30m pamoja na mchezaji wa zamani wa Atletico Filipe Luis ambae ameshindwa kuonyesha cheche ndani ya Chelsea tangu ahamie.
KOCHA JOSE MOURINHO ANAMFIKIRIA STRIKER RICKIE LAMBERT KUM-REPLACE DROGA
Gazeti la the Mirro limeandika habari kwamba Jose Mourinho anapanga kumchukua striker Rickie Lambert kutoka Liverpool mwenye miaka 33 kuja kum-replace Dider Drogba mwenye miaka 37 akisepa Stamford Bridge this summer.
ASHLEY YOUNG KU-SIGN MKATABA MPYA NA MANCHESTER UNITED
Daily Mail limeandika kwamba mchezaji Ashley Young atasaini mktaba moya wa miaka 3 na Manchester united. Winger huyo amekua ni mmoja kati ya wachezaji waliomfurahisha manager Luis Van Gaal
MANCHESTER WAINGIWA NA WASIWASI
Machester Evening News wameandika kwamba club ya Manchester United waingiwa na wasiwasi juu ya Borussia Dortmund watamuwekea kuzuizi beki Mats Hummels mwenye miaka 26 kwenda Manchester united baada ya beki huyo kuonyesha kutaka kusepa club hiyo

0 comments:
Post a Comment