Pages

Friday, 1 May 2015

YANGA WAMEWASILI SALAMA TUNISIA WAMEFANYA MAZOEZI USIKU NA LEO HII MAPUMZIKO KESHO NDIO KESHO

Kikosi cha Yanga kimewasili salama Tunisia na kipo mjini Sousse, Tunisia kwa ajili ya kuivaa Etoile du Sahel katika mechi itakayopigwa Jumamosi.
Jana usiku walifanya mazoezi n leo watapumzika kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kesho
Katika mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikishi, Yanga na Etoile zilitoka sare ya 1-1 jijini Dar es Salaam.
Inaonyesha ilikuwa ni lazima Yanga wafanye mazoezi usiku huu ili ikiwezekana kesho wafanye mazoezi kidogo au kupumzika kabisa.
Pia walilazimika kufanya mazoezi usiku ili kuendana na muda wa mchezo ambao watacheza saa 1 usiku za Tunisia na saa 3 Usiku nyumbani Tanzania.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates