Pages

Friday, 1 May 2015

KIUNGO WA YANGA SIMON MSUVA SASA KUTUA SIMBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, Zacharia Hans Poppe ametangaza rasmi kwamba ana uhakika kiungo Simon Msuva atatua Simba.
Hans Poppe amesema hana hofu hata kidogo na ana uhakika Msuva atajiunga na Simba baada ya kumaliza mkataba wake wa mwaka mmoja uliobaki
“Amebakiza mwaka mmoja tu na Yanga. Akimaliza basi anakuja Simba, nataka mniamini,” alisema Hans Poppe.
Msuva ndiye anaongoza kwa ufungaji mabao katika Ligi Kuu Bara akiwa amepachika mabao 17 hadi sasa.
Simba tayari imeishaanza kufanya michakato ya usajili kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake.
Mambo mengi yamekuwa yakifanyika kwa siri lakini Hans Poppe ameamua kuweka wazi hilo kuhusiana na Msuva.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates