Jumapili Chelsea watakuwa kwao Stamford Bridge na wakiifunga Crystal Palace basi wao ndio Mabingwa wapya wakiwa na Mechi 3 mkononi kwani watazoa Pointi 83 ambazo hazitafikiwa na Arsenal ambao wana Pointi 67 na Mechi 5 mkononi.
Jana Leicester walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika za Majeruhi za Kipindi cha Kwanza la Marc Albrighton na Kipindi cha Pili Chelsea kujibu kwa Bao za Didier Drogba, John Terry na Ramires.
0 comments:
Post a Comment