Pages

Thursday, 30 April 2015

LA LIGA REAL MADRID YASHINDA 3-0 DHIDI YA ALMERIA BADO MECHI 4 LIGI KUISHA

Wakiwa kwao Santiago Bernabeu Jana Usiku, Real Madrid wameitandika Almeria Bao 3-0 na kukata pengo lao la Nafasi ya Pili na Vinara Barcelona kuwa Pointi 2 huku Mechi zimebaki 4 kwa La Liga kumalizika.
Bao za Real kwenye Mechi hii zilifungwa na James Rodriguez, Dos Santos, aliejifunga mwenyewe kutokana na presha ya Cristiano Ronaldo, na Arbeloa alieutokea Mpira ambao Ronaldo alitaka kuumalizia.
Kwenye Benchi la Real alikuwepo Kinda wa Norway, Martin Odegaard, Miaka 16, ambae anawania kuvunja Rekodi ya Alberto Rivera ya kuichezea Real kwa mara ya kwanza Mwaka 1995 akiwa na Miaka 17 na Siku 114.Odegaard ameshaichezea Timu ya Taifa ya Norway mara 4.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates