Pages

Wednesday, 11 March 2015

ANGALIA REKODI NYINGINE YA CHRISTIANO RONALDO BAADA YA KUFUNGA MAGOLI MAWILI JANA KWENYE LIGI YA MABINGWA ULAYA

 Ronaldo ametengeneza rekodi ya magoli kwenye ligi ya mabingwa  aliponga magoli mawili kwenye mechi ya jana na kufikisha idadi ya magoli 78.
Klabu ya real Madrid hapo jana ilipokea kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa Schalke kwenye uwanja wa nyumbani.
Cristiano Ronaldo ambae ni raia wa Ureno ameapa kutozungumza chochote kwenye hadhara hadi mwisho wa msimu wa ligi hiyo

10 BORA WANAOONGOZA IDADI YA MAGOLI BARANI ULAYA PAMOJA NA UEFA SUPER CUP

78: Cristiano Ronaldo (Sporting Lisbon, Manchester United, Real Madrid)
77: Raul (Real Madrid, Schalke)
76: Lionel Messi (Barcelona)
70: Filippo Inzaghi (Parma, Juventus, AC Milan)
67: Andriy Shevchenko (Dynamo Kyiv, AC Milan, Chelsea)
62: Gerd Muller (Bayern Munich)
62: Ruud van Nistelrooy (Heerenveen, PSV Eindhoven, Manchester United, Real Madrid, Hamburger)
59: Thierry Henry (Monaco, Arsenal, Barcelona)
59: Henrik Larsson (Feyenoord, Celtic, Barcelona, Helsingborgs)
56: Eusebio (Benfica)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates