Pages

Monday, 16 March 2015

BALE AIONGOZA REAL MADRID KUSHINDA 2-0 DHIDI YA LEVANTE SASA KUISUBIRI EL- CLASICO

Gareth Bale Jana alifunga Bao 2 na kuhakikisha Real Madrid wanabaki Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 1 nyuma ya Vinara FC Barcelona ambao Jumapili ijayo watakutana nao kwenye El Clasico ya La Liga.
Bao hizo za Bale zimekuja baada ya Mechi 9 za ukame kwake na pia katika kipindi kibaya cha Real walipokonywa uongozi wa La Liga na Barca.
Bao za Bale hiyo Jana zimekuja baada ya Mipira ya Cristiano Ronaldo kuokolewa na yeye kufunga katika Dakika za 19 na 40 na kuipa Real ushindi wa 2-0 walipocheza na Levante Mechi ya La Liga.
Hivi karibuni, kuzorota kwa Real kuliyafanya Magazeti ya Spain kumwandana na kumsakama Bale Mchezaji kutoka Wales huko Uingereza.
Juzi Gazeti maarufu, Marca, liliweka ukurasa mzima kumsakama na kumponda Gareth Bale.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates