Katika mchezo Azam walienda mapumziko wakiwa mbele kwa goli 1-0 lililofungwa na didier Kavumbagu Dakika ya 24 na goli hilo lilidumu hadi kipindi cha pili na kupelekea mchezo kumalizika kwa Azam wakiibuka na kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
Mchezo huo ulikuwa wa mwanzo kwa kocha mpya Msaidizi Dennis Kitambi kuiongoza Azam katika michezo ya ligi kuu ya vodacom,Akiifunga timu ya Ndanda ambayo alipanda nayo daraja kabla ya kutimuliwa kwa kile kilichodaiwa matokeo mabaya ya timu hiyo
Katika raundi ya kwanza ndanda waliifunga Azam walipocheza Nyumbani Nangwanda sijaona
Kwa matokeo hayo Azam sasa wanaongoza ligi wakiwa na pointi 33 na kuishusha Yanga nafasi ya pili ikiwa na pointi 31 wakifuatiwa na Simba wenye pointi 29
0 comments:
Post a Comment