MABINGWA wa Dunia, Germany, bado wapo Nambari Wani mbele ya Argentina na Colombia huku Tanzania ikipanda Nafasi 7 na kukamata Nafasi ya 107.
Kwa Nchi za Afrika, Algeria ndio ipo juu ikiwa Nafasi ya 18 ikifuatiwa na Ivory Coast walio Nafasi ya 20.
Italy wameingia 10 Bora kwa mara ya kwanza tangu Juni 2014 na kuwaporomosha Mabingwa wa Dunia wa zamani Spain ambao sasa wako Nafasi ya 11.
Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa hapo Aprili 9.
10 BORA:
1 Germany
2 Argentina
3 Colombia
4 Belgium
5 Netherlands
6 Brazil
7 Portugal
8 France
9 Uruguay
10 Italy
0 comments:
Post a Comment