La Liga itaendelea Mechi zake hii kwa Vinara FC Barcelona kucheza na Getafe na kesho Real Madrid, walio Nafasi ya Pili Pointi 2 nyuma, kucheza na Almeria.
Wote Barcelona na Real watacheza Mechi zao kwenye Viwanja vyao vya Nyumbani vya Nou Camp na Santiago Bernabeu.
Hapo Jana Valencia iliinyuka Granada 4-0 na kupaa Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 4 nyuma ya Mabingwa Watetezi Atletico Madrid ambao nao wako Pointi 7 nyuma ya Real.
WAFUNGAJI WA MAGOLI LA LIGA
1 Cristiano Ronaldo Magoli 39 [Real Madrid]
2 Lionel Messi 36 [FC Barcelona]
3 Antoine Griezmann 22 [Atlético Madrid]
4 Neymar 19 [FC Barcelona]
5 Carlos Bacca 17 [Sevilla FC]
6 Alberto Bueno 16 [Rayo Vallecano]
7 Karim Benzema 15 [Real Madrid]
8 Adúriz 14 [Athletic Club]
9 Gareth Bale 13 [Real Madrid]
10 Mario Mandžukic 12 [Atlético Madrid]
10 Luciano Vietto 12 [Villarreal CF]
0 comments:
Post a Comment