Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Kagera Sugar na Simba imeahirishwa hadi Jumatatu ya tarehe 6 April kutokana na uwanja kujaa maji ya mvua
Hatua hiyo inakuja wakati Simba ikiwa katika majonzi baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo vya mashabiki takribani saba wakati wakienda kushanglia timu yao

0 comments:
Post a Comment