Pages

Saturday, 4 April 2015

YANGA YAFUNGWA 1-0 NA PLATINUM FC YA ZIMBABWE ILA YASONGA MBELE KWA 5-2


Yanga imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 5-2 ikiwa ugenini nchini Zimbabwe.
Yanga wamefuzu licha ya kufungwa kwa bao 1-0 dhidi ya FC Platnum katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mandava ulio takribani Kilomita 200 kutoka mji wa Bulawayo goli la platinum lilifungwa dakika ya 29 na mchezaji Walter Musona 

Mechi hiyo kali na ya kuvutia, wenyeji walipania kufunga mabao manne ili wafuzu lakini ilishindikana.

Kocha Hans van der Pluijm alilazimika kumtoa mapema kinda Said Juma ‘Makapu’ kutokana na kuonekana kuzidiwa na nafasi yake kumuingiza Kelvin Yondani.

Kwa kuwa Yanga walifungwa katika kipindi cha kwanza, kipindi cha pili, Mholanzi huyo aliamua kujaza viungo wengi zaidi.

Wingi wa viungo wengi, kulionyesha kuwanyima nguvu Wazimbabwe hao hivyo kufanya Yanga icheze kwa kujiamin
i.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates