Pages

Wednesday, 15 April 2015

MTIBWA SUGAR YAFUFUKA YAICHAPA PRISON 1-0 NAO AZAM FC WABANWA NA MGAMBO 0-0

MTIBWA Vs PRISON
Wakata miwa wa mtibwa sugar hii leo wamefanikiwa kuvuna pointi tatu mbele ya Mbeya city katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Manungu. 


Katika mchezo huo wa ligi kuu ya vodacom ulishuhudia timu zote zikienda mapumziko wakiwa sare ya bila kufungana,huku mtibwa sugar wakipata goli lao kwa mkwaju wa penati katika kipindi cha pili.

Kwa ushindi huo wa goli moja bila, Mtibwa sugar wanafikisha pointi 27 na kusogea hadi katika nafasi ya  kaika msimamo wa ligi kuu ya vodacom.


**********************
AZAM Vs MGAMBO

Katika uwanja ule ule ambao yanga walipoteza matumaini, safari hii nao Azam Fc ni kama wamepoteza matumaini katika uwanja huo wa CCM Mkwakwani baada ya kwenda sare ya bila kufungana na Mgambo shooting.
Katika mchezo huo wa leo Mgambo shootning walikuwa na uwezo wa kuibuka na ushindi wa goli 2-0 kama safu yake ya ushambuliaji ingekuwa makini baada ya kupoteza nafasi mbili za wazi katika dakika 20 za mwisho wa mchezo.

Katika mchezo huo Azam FC walimaliza pungufu baada ya Himidi Mao Mkami kuzawadiwa kadi nyekundu zikiwa zimesalia dakika 20 mchezo kwisha.

Kwa matokeo hayo ya leo tofauti ya pointi baina ya vinara Yanga na Azam FC imepakia pointi 7 na huku zikiwa pointi 4 baina ya Azam FC na Simba SC, huku wote wakibakiwa na michezo mitano.

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA


RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA21144339122746
2Azam FC21109227141339
3SIMBA SC2198427151235
4KAGERA SUGAR228772120131
5MGAMBO SHOOTING218491719-228
6MTIBWA SUGAR226972122-127
7STAND UNITED217681823-527
8Coastal Union236981623-727
9RUVU SHOOTING226881420-626
10MBEYA CITY2251071721-425
11NDANDA FC226791824-625
12JKT RUVU2266101622-624
13T. PRISONS2231271421-721
14POLISI MORO224991322-921
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

IDADI YA WANAOTEMBELEA BLOG HII

Blog Archive

Recent Posts

Fashion

3/Fashion/big-col-right

Recent Posts

Header Ads

Followers

Powered By Blogger

Tags

Maoni

3/recent-comments

WASILIANA NASI

Popular Posts

Labels

Blog Archive

Blogger templates