Uwanja: Estadio Vicente Calderón, Madrid, Spain
Katika Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, hii Dabi ya Jiji la Madrrid, hakuna mbabe aliepatikana kati ya Atletico Madrid na Mahasimu wao, Real Madrid, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ulaya baada ya kutoka Sare 0-0 katika Mechi ya Kwanza ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Timu hizi zitarudiana huko SAntiago Bernabeu Wiki ijjayo.
*******************************
JUVENTUS 1 AS MONACO 0
Uwanja: Juventus Stadium, Turin, Italy
Wenyeji Juventus wameanza vyema baada ya kuichapa AS Monaco Bao 1-0 katika Mechi ya Kwanza ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Bao hilo la ushindi lilifungwa Dakika ya 57 kwa Penati ya Arturo Vidal iliyotolewa baada ya Beki wa Monaco Ricardo Carvalho kumwangusha Alvaro Morata.
Timu hizi zitarudiana huko Monaco Wiki ijayo.
0 comments:
Post a Comment